Hakika huu ndo mwisho wa dunia........Huu ni uchafu ambao hufanyika katika Garden moja ijulikano kwa jina la Murilo.......
Ni kitovu cha uchafu, laana, maasi na dhambi zooooooote unazozijua hapa duniani........
Hiyo ni kambi ya Vigogo,wanasiasa na wasanii mbali mbali toka Tanzania, Kenya na Uganda.......
Kahaba ni kahaba tu......Malaya ni malaya tu. Hakika wanadamu tumeasi.Iko haja ya kumrudia mwenyezi mungu........
Kitovu cha uchafu huo kipo Kenya.
1 comment:
uko juu mzee nimekukubali sana
Post a Comment