Watu
hawajawahi kuridhika, na kamwe hawajapata kutoshelezwa na kitu
chochote, kufikia hatua ya kushuka chini toka shimo moja hadi kulifikia
shimo la tatu ili kutafuta raha zaidi. Ninazungumzia kufanya ngono kwa
njia ya ulawiti (ufiraji) ambacho si kitendo chema kwa mwanamke. Idadi
ya wanaume wanaowafira wake zao inakua kwa kasi. Tuliamua kufanya
utafiti miongoni mwa wanawake walioolewa na wasioolewa na kugundua kuwa
asilimia 33 ya wanawake wenye umri 18-44 hulawitiwa na waume au wapenzi
wao. Wanaoshiriki ngono ya aina hii wanadai kuwa eneo la mkundu lina
neva zinazowasisimua sana lakini wengi wao wanaelezea kuwa wanafanya
hivyo kwa kuwaridhisha tu waume zao.
Wakati
watu wakifurahia aina hii ya ngono, wanapaswa kujua kuwa wanajiweka
katika mazingira ya kukabiliwa na athari mbalimbali za kiafya kila mara
wanaporudia tendo hili.
Madhara yatokanayo na ufiraji
- Kutokwa na damu kuatia kuchanika kwa ngozi laini ya mkundu (wa ukuta / bitana inaweza Sila na uharibifu kwa urahisi kutokana na yakikwaruza).
- Hakuna sehemu nyingine katika mwili yenye vimelea (bakteria) kuzidi mkundu. Ni rahisi kuambikwa ugonjwa kama UTI (Urinary Tract magonjwa), pia magonjwa ya ngono, kama VVU, malengelenge, na magonjwa mengine.
- Kuwashwa na kuchubuka ngozi ya mboro, kutokana na mkundu kutokuwa na majimaji.
- Kulegeza misuli ya mkundu na kula tendo linapofanyika ndipo misuli ya mkundu inapolegea zaidi.
- Kansa ya njia ya haja kubwa (colony cancer)
- Kuongeza hatari ya maambukizi ya VVU kwa wale wanaotoka nje ya ndoa, na magonjwa mengine.
Makala
mbalimbali zinafundisha kuwa athari nilizotaja hapo juu zaweza
kupunguzwa endapo mfirwaji atapaka mafuta mkunduni na mfiraji akitumia
kondomu. Kama mshauri na mtoa huduma ya afya, siwezi kupendekeza aina
hii ya ngono. Madhara yake ni makubwa na yanaweza kumsababishia mkeo
matatizo makubwa zaidi. Hivyo basi kwa nini kutafuta raha toka shimo la
tatu wakati unajua unahatarisha afya ya mkeo na yako pia. Kuzingatia
kuwa katika afya na hali njema kimwili ni utajiri. Kumbuka kuwa baadhi
ya matatizo yanayotokana na ufiraji hayana tiba na hivyo mtu atateseka
maisha yake yote.
Sijawahi
kufira katika maisha yangu, nina maadili yangu na kumthamini mwenzangu.
Unapohitaji kupata utamu wa ngono tumia njia ya asli. Hata kama mkeo
atakusihi, kumkubalia sio kumpenda – ni KUMHARIBU.
No comments:
Post a Comment