ibu Jamani-Huu ndio Uchafu Ulio Tawala ndoa Nyingi za Leo
Kama mtu ana akili nzuri naamini atakuwa ni mwerevu. Nawasihi wanawake muache tabia ya AIBU.Muulize kinachomsibu mumeo.
Kama unaogopa kumwambia basi unaweza kumwanzisha tu pole pole wakati wa mnafanya mapenzi. Mwambie leo nataka unishike hapa. Leo tujaribu staili hii, napenda ukifanya hivi, usiwe unakuja mapema...Dear uko bize mno, naomba uwe unanijali na tufanye mara kwa mara...
Wanaume ni kama watoto wadogo na ukiwa mjanja unaweza kumbadilisha unavyotaka hasa katika mambo ya mapenzi...Vinginevyo utakuwa ni mtu wa kuibiwa kila leo.
Hata huko nje utapata mume wa mtu. Mwanzoni mambo yatakuwa moto lakini baadaye mtazoeana na mambo yatakuwa yale yale.
Halafu kama ni mume wa mtu na anafanya nje ya ndoa , unajuaje kama hana mnyororo wa wanawake huko nje?. Mmoja tu akiwa na UKIMWI kwenye huo mnyororo basi kila memba wa huo mnyororo anaishia kuudaka....
No comments:
Post a Comment