KIKAO CHA DHARURA CHA BARAZA KUU LA CHADEMA KATIKA PICHA
Mbunge wa
Ubungo John Mnyika akitete jambo na Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willbroad
Slaa (kulia) wakati wa Kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Chadema
kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo. (Picha na Habari Mseto Blog)
Mbunge
Kigoma, Zitto Kabwe akiwasikiliza kwa makini wajumbe wa kikao cha
dharura cha Baraza Kuu la Chadema kutoka mkoa wa Mtwara.
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akiwa amepozi na baadhi ya wajumbe.
Kazi imeanza
Muasisi wa Chadema, Edwin Mtei akiingia katika ukumbi wa mkutano huku akifuatana na Mwenyekiti wa Chadema, Freema Mbowe.
Wajumbe wa mkutano.
Katibu Mkuu Dk. Willbroad Slaa akizungumza katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akifungua mkutano huo
Wajumbe wa Kamati Kuu.
Peoples Power
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akimkabidhi
kadi ya uanchama wa chama hicho aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa
Chama cha NCCR-Mageuzi, Clemence Tara baada ya kujiunga na chama hicho.
Pokea katiba ya chama cha Chadema
Bidhaa mbalimbalio zenye nembo ya Chadema zikiuzwa
No comments:
Post a Comment