PICHA MBALI MBALI ZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MSIBA WA SAJUKI
Pichani kati ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano.Sayansi na Teknolojia,Mh January Makamba akipata maelezo mafupi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba (wa pili kushoto) kuhusiana na mikakati na mipango mbalimbali ya mazishi ya Marehemu Sadick Juma Kilowoko a.k.a Sajuki,nyumbani kwao Tabata Bima,jijini Dar.Aidha kwa taarifa rasmi kutoka kwa Simon Mwakifwamba ameeleza kuwa mazishi ya marehemu yatafanyika kwenye makaburi ya Kisutu siku ya Ijumaa mapema saa tano asubuhi.Kuli kwa Naibu Waziri ni Mkurugenzi wa utafiti wa Clouds Media Group,Ruge Mutahaba.
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba akitoa maelezo mafupi kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano.Sayansi
na Teknolojia,Mh January Makamba kuhusiana na taratibu mbalimbali
kuhusiana na msiba huo,huku baadhi ya wasanii wengine mahiri wa filamu
wakisikiliza kwa makini.
Mazungumzo
mengine ya hapa na pale yakiendelea kufanyika kuhusiana taratibu nzima
za msiba wa Sajuki,ulioko Tabata Bima,jijini Dar.
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano.Sayansi na Teknolojia,Mh January Makamba,kushoto ni Mkurugenzi wa utafiti wa Clouds Media Group,Ruge Mutahaba.
Baadhi ya Wasanii wa wakijadiliana jambo.
Dua ikiendelea kusomwa nyumbani kwa marehemu Sajuki.
Baadhi
ya Watu mbalimbali wakiwemo wasanii wakongwe wa filamu wakiendelea
kuwasili nyumbani kwa marehemu Sajuki mapema leo jioni.
Watu mbalimbali wakiwe wenye simanzi kubwa wakijadiliana jambo
Watu mbalimbali wakiwa wamekusanyika kwenye msiba wa marehemu Sajuki jioni ya leo maeneo ya Tabat Bima,jijini dar.
Mdau
mkubwa wa Filamu hapa nchini Saimon Simalenga akijaribu kutoa maelekezo
mafupi kwa baadhi ya waombolezaji waliofika kwenye msiba wa marehemu
Sajuki mapema leo jioni.
Badhi ya Wadau na Wanahabari wakiwa wamekusanyika kwenye msiba huo.
Ruge Mutahaba akisalimiana na Mkurugenzi wa ASET,Asha Baraka,pichani kati ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano.Sayansi na Teknolojia,Mh January Makamba pamoja na Simon Mwakifwamba.
Wakifarijiana.
Vikao vikiendelea
Ruge
Mutahaba akiwa ameongozana Mh January Makamba wakisalimiana na baadhi
ya watu waliokuwa kwenye msiba,walipokuwa wakiwasili
Baadhi ya Wasanii wakibadilishana jambo
No comments:
Post a Comment