BUKOBA YETU HII LEO
Barabara ya Jamhuri mkabala na soko kuu Mjini hapa, anaonekana mdau Makubeli akijishughulisha na biashara yake ya kuuza viatu.
Hekaheka za wastani miongoni mwa wadau.
Kuelekea Ujirani mwema .
Viwanja vya Bukoba Club katika hali tulivu.
Mwananzengo pichani Asimwe Katalahiya vile anacheck na Camera yetu
Dada Asimwe ingia kati tuyaone maringo yako bingili bingili mpaka chini!!
Mdau Said Bunduki aka Mdigital katika hili na lile ,kijana hana shaka kabisa!
Wanandugu wakishow love hii ni kupitia mtaa kwa mdaa na Camera yetu.
Kijana Soma kama alivyokutwa na Camera yetu jioni ya leo
Mdau Abdulrahim Kabyemela katika pozi.
Mdau Thomas Charles na William Rutta wakifanya yao .
No comments:
Post a Comment