Wakazi wa Kimara Kilungure wakiwa 
wametaharuki baada ya kukosa jinsi ya kuvuka daraja ambalo limefunikwa 
na maji yaliyosababishwa na Mvua Kali iliyonyesha leo Katika Jiji la Dar
 na kupelekea kuleta adha kwa watumiaji wa barabara hiyo huko Kimara 
Kilungure
Daraja lililopo Kimara kilungure 
likiwa limefunikwa na maji yaliyosababishwa na Mvua Kali iliyonyesha 
Jijini Dar mapema leo na kupelekea kuleta adha kwa watumiaji wa barabara
 hiyo na daraja huku wakazi maeneo hayo wakiwa wamesimama kwa kushindwa 
kuvuka kwa kuogopa kupoteza mali pamoja na maisha yao kutokana na maji 
kufunika daraja.Picha na Abdul Lukanza wa Lukaza Blog


 
 
No comments:
Post a Comment