Mtumishi
 katika mnara wa Canton, mrefu kuliko yote nchini China na watatu 
duniani kwa urefu, Sarah Xie, akimuonyesha mandhari ya jiji la 
Guangzhou, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, wakati Kinana na 
ujumbe wake walipopanda hadi mwisho mnara huo wenye urefu wa zaidi ya 
futi 100, Machi 13, 2013. Wengine Kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya 
Maganga Sengelema na Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine shigella. Kinana na 
ujumbe wake wapo nchini kwa ziara ya siku kumi ya kimafunzo kwa mwaliko 
wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC).
Katibu
 Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na ujumbe wake wakitazama maumbo ya 
mandhari ya mji wa Guanzhou, China, yaliyopo ndani ya mnara wa Cnton 
wenye urefu wa zaidi ya mita 100, walipotembelea mnara huo, Machi 13, 
2013.  Kinana na ujumbe wake wapo nchini kwa ziara ya siku kumi ya 
kimafunzo kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC).
Katibu
 wa NEC, Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (kushoto) na 
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa mjini Magharibi, Yussuf Mohamed Yusuf wakitaza
 bidhaa zinazouzwa kwenye kilele Mnara wa Canton ambao ni mrefu kuliko 
yote nchini China ukiwa na urefu wa zaidi ya mita 100, mjini Guangzhou, 
China. Dk. Asha-Rose Migiro na Yusuf ni miongoni mwa viongozi 
walioambatana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika ziara ya 
siku kumi ya kimafunzo kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha China 
(CPC).
Katibu
 Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akijaribu uzito wa spika, alipotembelea 
 Kituo kikubwa cha Sayanasi na Teknolojia cha Ljieafun cha Guangzhou, 
kinachojihusisha na ubunifu na utengenezaji 'divaisi' za sauti na 
uchanganyaji ragi na matangazo kama ya biashara katika kumbi za muziki 
au vituo vya televisheni. Kulia ni Rais wa Kituo hicho,  Mike Fung na 
wapili kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. 
Asha-Rose Migiro.  Kinana na ujumbe wake wapo nchini kwa ziara ya siku 
kumi ya kimafunzo kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC). 
Katibu
 Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Kamishna wa 
maadili na nidhamu wa Chama Cha Kikomunisti cha China (PCP) jimbo la 
Dongguan, Cui Jian, kwenye hoteli ya Exibition International  mjini 
Dongguan, China, Machi 13, 2013. Kinana na ujumbe wake wapo nchini kwa 
ziara ya siku kumi ya kimafunzo kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha
 China (CPC).
Katibu
 Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipewa zawadi na Kamishna wa maadili na
 nidhamu wa Chama Cha Kikomunisti cha China (PCP) jimbo la Dongguan, Cui
 Jian, kwenye hoteli ya Exibition International  mjini Dongguan, China, 
Machi 13, 2013.  Kinana na ujumbe wake wapo nchini kwa ziara ya siku 
kumi ya kimafunzo kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC).
Katibu
 Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimpa vipeperushi kuhusu utalii wa 
Tanzania, Kamishna wa maadili na nidhamu wa Chama Cha Kikomunisti cha 
China (PCP) jimbo la Dongguan, Cui Jian, kwenye hoteli ya Exibition 
International  mjini Dongguan, China, Machi 13, 2013. Kinana na ujumbe 
wake wapo nchini kwa ziara ya siku kumi ya kimafunzo kwa mwaliko wa 
Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC).
Katibu
 Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Maofisa wa Mambo ya Nje 
wa Dongguan, China,  Sarah Xie (kulia) na Sabina Liu, wakati wa chakula 
cha jioni kilichoandaliwa na Kamishna wa maadili na nidhamu wa Chama Cha
 Kikomunisti cha China (PCP) jimbo la Dongguan, Cui Jian, kwenye hoteli 
ya Exibition International  mjini Dongguan, China, Machi 13, 2013. 
Kinana na ujumbe wake wapo nchini kwa ziara ya siku kumi ya kimafunzo 
kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC).
Katibu
 wa NEC, CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, 
akizungumza na Maofiwa wa Mambo ya Nje wa Dongguan Sarah Xie (kulia) na 
Sabina Liu, wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Kamishna wa 
maadili na nidhamu wa Chama Cha Kikomunisti cha China (PCP) jimbo la 
Dongguan, Cui Jian, kwenye hoteli ya Exibition International  mjini 
Dongguan, China, Machi 13, 2013. Kinana na ujumbe wake wapo nchini kwa 
ziara ya siku kumi ya kimafunzo kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha
 China (CPC).
Katibu
 Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa 
Kimataifa, Dk. Asha Rose Migiro, wakiwa na viongozi wa Jumuia ya 
Watanzania waishio China, alipokutana nao Machi 12, 2013 kwenye hoteli 
ya Exhibition Internation mjini Dongguan, China. Kushoto ni, David 
Chamala (Katibu) na John Ruhembiza (Mwenyekiti) na kulia ni Abraham 
Merishan (Makamu Mwenyekiti) na Abubakar Mwinyi (Katibu Msaidizi).  
Kinana na ujumbe wake wapo nchini kwa ziara ya siku kumi ya kimafunzo 
kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC).












 
 
No comments:
Post a Comment