Wanawake
wanaofanya kazi katika kampuni ya mawasiliano ya Vodacom
wakibadilishana mawazo wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake
duniani.
Baadhi
ya wanawake wanaofanya kazi katika kampuni ya mawasiliano ya Vodacom
wakiwa kwenye pozi wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani.
Mamaaaa weweee!Siku ya ukweli ya kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Nakuambiaaa...
Majadiliano ya hapa na pale wakati wa sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Kujichana nako muhimu,baba nae yumo Mwakifulefule ndani ya sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Msosi muhimu
Mvua haizuii sherehe yetu ya wanawake duniani tumo tu...
wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Kata
cake tuleeeeee kata cake tuleeeeeeeeeee!walisikika wakina mama wakati wa
kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom
Tanzania.
Mambo ya kuyarudi magoma.
Dr.Mweta
akiwa katika pozz balaaaa wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake
duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania utamtaka!
Mama Victor ambae ni mtoa mada wa siku hii ya wanawake duniani akiongea na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania.
No comments:
Post a Comment