Mbunge
wa Kigoma CHADEMA, Zitto Kabwe pamoja na Wabunge wenzake kadhaa vijana
leo wakemaliza rasmi mafunzo yao ya awali ya JKT katika kambi ya Mgambo
835KJ kilichopo Mkoani Tanga.
Pichani juu ni Zitto Kabwe akijiandaa
kwenda katika gwaride la mwisho na picha chini akiwa shambani pamoja na
Mbunge mwenzake Iddi Azan, Abdallah haji, Raya Ibrahim na Antony Mbassa
kambi ya Mgambo 835KJ.
Aidha
Zitto Kabwe amesema anafuraha iliyo pitiliza kumaliza mafunzo hayo na
ameweka historia ya kubwa katika maisha yake hii leo. Anapasha zaidi
katika wakati wa Zoezi la kulenga shabaha alifanikiwa kulenga risasi 3
akiwa amelala, 3 akiwa amepiga magoti na 1 akiwa amesimama.
No comments:
Post a Comment