Saturday, April 6, 2013

ALA KICHAPO HADI KUNG'OLEWA MENO KISA MKE WA MTU!


Na Livingstone Mkoi

Katika halisi isiyokuwa ya kawaida na kuhudhunisha kijana mmoja makazi wa Kariakoo Jijini Dar hivi karibuni alichezea kichapo hadi kung'olewa meno kisa mke wa mtu.
Tukio hilo lililotokea maeneo ya Coco Beach Jijini Dar na kushuhudiwa na camera zetu ambapo chanzo kilidaiwa ni kufumwa akimtongoza mke wa mtu ndipo alipokumbwa na kashikashi hiyo.
Hata hivyo hadi mwandishi wetu anaondoka eneo la tukio aliacha kijana huyo akiwapigia simu ndugu zake waje kumsaidia kwa kumpeleka Hospital kwa ajili ya matibabu.

No comments: