Mwananmuziki
wa kizazi kipya ambae yupo juu kwa sasa katika gemu ya Bongo Flava,
Diamond akipokelewa na mashabi wake mjini Bukoba baada ya kuwasili
Jumamosi Marcha 30, 2013 kwa ziara yake inayoendelea kanda ya ziwa wiki
hii ya Pasaka.
Prezidah
wa Bongo flava akisalimiana na mashabiki wake Mjini Bukoba wakati
alipowasili akiwa njiani kuelekea Hotelini kwake ilibidi Polisi
waingilie kati msafara wake kwa kusimamisha magari kuruhusu msafara wake
upite na shughuli nyingine zilisimama kwa muda
Moja
ya mashamsham ya shabiki wa Diamond akifanya vimbwanga vyake juu ya Pick
up wakati wa msafara wa Prezidah wa Bongo Flava alipowasili Bukoba
Diamond akiwapa Vionjo vya nyimbo zake huku akiwasalimia mashabiki wa mjini Bukoba
kwa picha zaidi bofya read more
kwa picha zaidi bofya read more
Diamond akiwa amembeba mtoto huku akisema waacheni watoto waje kwangu
Mashabiki wa Bukoba wakipagawika baada ya kumuoana Preszidah wao
Prezidah
Diamond akidhihirisha ukali wake kwa mashabiki wake wa Geita alipofanya
sho yake siku ya Ijumaa Marcha 29, 2013 kwenye ziara yake ya Kanda ya
ziwa
Diamond na kundi zima la Wafi wakiwa tayari kuingia ukumbini walipokua Geita siku ya Ijumaa Marcha 29, 2013
Prezidah na kundi la Wasafi wakiendelea kukonga nyoyo za mashabiki mjini Geita
Mashabiki wa Geita waliofika kwenye show ya Diamond
Picha na This is Diamond Website
No comments:
Post a Comment