Mwanamuziki aliyeitikisa vilivyo Kenya kabla ya kuokoka na kuachana na muziki wa kidunia, mwanadada Size 8 sasa ameanza kufunguka katika interview kwenye vituo mbali mbali vya redio na Tv kuhusiana na maisha mapya ya kidini.
Kati ya mambo yote ambayo Size 8
amekuwa akiyaongelea, ni moja tu ambalo amekuwa akilitilia mkazo kwa
kumaanisha kuwa linamsikitisha zaidi .....Jambo hilo ni lile la kupoteza BIKRA YAKE.....
Size 8
ameziambia media kuwa "Najutia sana kupoteza bikra yangu. Ninaamini
kuwa kijana anatakiwa kujilinda na kujizuia kufanya ngono katika ujana
wake wote mpaka atakapo pata kibali toka kwa Mungu."
No comments:
Post a Comment