Mkataba huo umesainiwa na Waziri wa Fedha, Dk. Wiliam Mgimwa Waziri wa fedha, pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier Mjini Washington. Yafuatayo ni matukio mbalimbali ya picha yakionesha hafla ya usainishaji mradi huo mkubwa kwa..read more
Source: thehabari.com
No comments:
Post a Comment