WATU watatu wakiwamo wanajeshi wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kuua kwa kukusudia.
Wanajeshi hao wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni MT 95735 Noah Lusivuni (25) mkazi wa Lugalo na MT 99170 Raphael Masha (29) mkazi wa Mabibo External na mlinzi Reverian Paul (40) mkazi wa..read more
Source: HabariLeo
No comments:
Post a Comment