Mimi ni kijana wa miaka 26 ninaandika
hivi kwa sababu nimeamua kuomba mawazo kwa wa wanajamii, kwa ukweli na
uwazi mimi ni mtu ambaye nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto kwa muda
mrefu hili tatizo lilianza kipindi fulani nipokuwa mkoa fulani hapa
Tanzania, Nlikuwa na rafiki yangu mmoja na mpaka sasa bado ni rafiki
yangu ni mtu mzima na ameoa pia ana watoto yeye ni mfanya biashara ya
kununua na kuuuza madini. Alipokuwa akitoka porini kama amechelewa
anapita geto kwangu tunalaa sasa tukaanzisha mchezo wa kushikana sehemu
zetu za siri mpaka tunamaliza kitu tunachotaka japo hatuingiliani.
Tuliendelea na mchezo huo kwa muda mrefu kwa sababu imekuwa mazoea.
Sasa tatizo langu liko hivi mimi kwa
sasa niko nje kidogo na nchi yangu na yeye yuko na kazi zake za porini
na akienda huchukua muda mrefu kurudi na mimi kulingana na mazoea
inaniathiri kwa sababu kila ninapokumbuka ule mchezo namaliza nikiwa
mwenyewe yaani yeye amekuwa kwenye kumbukumbu ya akilii yangu kwa sababu
kuna siku tulifanya ule mchezo mpaka nikaona nimefika kileleni tofauti
na wanawake niofanya nao mapenzi hakuna aliyetomasa mpaka nifikie
hivyo. Na hii imenipelekea kila mwanaume ninayemwona kama ana umbo sawa
na rafiki yangu natamani kufanya nae ule mchezo kitu ambacho kinakuwa ni
ngumu. Na kila siku najaribu kujizuia kufanya huu mchezo ninashindwa
sijui nitumie njia gani ili kuepukana na hili tatizo hili kubwa
linalonisumbua.

No comments:
Post a Comment