Friday, May 3, 2013

HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYOPONDWA NA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUANDIKA KINGEREZA CHA UGOKO KWENYE INSTAGRAM..!!


Wabongo kwa kukosoa hawajambo.. Katika pitapita yangu instagram kuna picha mkali Diamond Platnumz alipost (hiyo hapo juu), na hapo wakatokea watu kukosoa kingereza alichotumia huku wengine wakionekana kutetea. JAMANI ENGLISH si Lugha yetu jamani. angalia hapa chini watu walivyokua wakicomment

No comments: