Je
wasichana wavae au wasivae sidiria? Kwa mujibu wa utafiti uliofanyika
nchini ufaransa, kuvaa sidiria kunadhoofisha misuli ya matiti na
kusababisha matiti kulegea, au “sagging” CBS News imeripoti.
Profesa Jean-Denis Rouillon wa Chuo Kikuu cha Hospitali ya Bensacon,
amechapicha matokeo ya utafiti uliofanyika chuoni hapo, unaosema kuwa
kuvaa sidiria kunaongeza matiti kulegea.
“Matokeo ya utafiti yamethibitisha kwamba fikra kuwa sidiria ni
mahitaji ni potofu” Profesa Rouillon amenukuliwa akisema. “Kiafya,
kimaumbile na kifiziolojia, sidiria inadhoofisha matiti.”
Sababu imeelezwa kuwa misuli ya mwili huwa inadhoofika na kuwa
legelege kama isipotumika mara kwa mara. Ndio maana miguu, mikono, vifua
n.k vya wanamichezo au watu wanaofanya mazoezi mara kwa mara huwa
vimeimarika kuliko watu wenye mazoea ya kukaa chini kwa muda mrefu bila
kuishughulisha misuli yao.
Tatizo la kuvaa sidiria ni kwamba inayabeba au inayasapoti matiti na
kuzuia misuli ya matiti kushindana na mvuto wa dunia au “gravity,” hivyo
kuinyima misuli hiyo nafasi ya kufanya mazoezi. Matokeo ya misuli hiyo
ya matiti kukaa muda mrefu bila kufanya kazi, ni kulegea na kudhoofika
zaidi.
Mama mmoja anayeitwa Sharon amekubaliana na utafiti huo na kutoa maoni ya fuatayo:
“I have a tremendous amount of experience on this subject. The last time I wore a bra was 1974. It has become obvious over the years that my breasts have not started to sag like other 57 year olds. Wearing a bra means that the breast muscles are not used. Therefore, sagging. When breasts are held up naturally by your muscles, the breasts sag less.

CREDIT :LAIVU
No comments:
Post a Comment