Upo
kwenye Twitter? Kama haupo fanya haraka ujiunge sababu kuna ulaji
huko!! Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi amesema
kuanzia mwezi huu, atakuwa akitoa shilingi milioni 1 kwa kila tweet
itakayomfurashia.
Not to fast though…… Sio tweet zile za ‘I’m having fun being single, #TeamSingle, tupa kuleee!
Mengi anataka ulikune jicho lake kwa tweet yenye akili ambayo inaweza kuchangia kwa namna moja ama nyingine kupunguza umaskini uliokithiri nchini.
“Umaskini umekuwa sugu. Kwa mwaka 1 anzia Mei ntatoa sh 1m kila mwezi kwa tweet nitakayochagua kuwa bora kushinda vita na umaskini,” ametweet leo.
Ameongeza kuwa Tweet hiyo iende kwake, yaani mtu akiandika tweet afanye kummention ili aione.

SOURCE:MPEKUZI HURU
No comments:
Post a Comment