
Sijui kwa ajili ya kukosa watoto au Kweli huu ni UUNGWANA kweli kumnyonyesha mbuzi?

Na huyo naye anamnyonyesha mtoto wa ndama kisa? Sijui akimngƔta hapo atasema nini?

Hapa
sawa, mama akimpa mtoto chakula ambacho ndicho chakula bora sana kwa
watoto wachanga. Ila kuna simulizi nimeisikia kuwa, wanaume wengi huwa
wanaona WIVU sana wakati mama/mke wake amnyonyeshapo mtoto. Hasa mtoto
wa kiume. Sijui wenzangu nanyi mmewahi kusikia? Na kama kweli kwanini
sio anyonyeshwapo mtoto wa kike?
No comments:
Post a Comment