Mwanamke ashusha kipigo kwa mwanaume
aliyedaiwa kuwa ni mme wake Bar, kwa madai ya kutoonekana nyumbani!
Tukio hilo lililtokea eneo la Corner Bar Sinza Dar es Salaam mwishoni
mwa wiki.
Wakazi wa Dar es Salaam wakishuhudia kichapo alikuwa akishushwa mwanaume huyo.
Mwanamke akishusha pumzi baada ya kupunguza hasira zake
Akitafakari baada ya kumpiga mwanaume huyo.
Baada ya kupigwa na mwananke anayesadikiwa kuwa mpenzi wake
Mwanamke huyo akimhoji mwanaume huyo kabla ya kumaliza ugomvi
Ugomvi ukifikia ukingoni
No comments:
Post a Comment