Friday, August 9, 2013

Naibu waziri wa maji alipotembelea miradi ya maji wilayani Siha

 Moja ya tanki la maji (kileleni) lililopo jirani na mashamba ya ngano west Kilimanjaro wilani Siha.
 Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akiwa ameambatana na mkuu wa wilaya ya Siha Dk Charles Mlingwa na baadhi ya maafisa wa mamlaka za maji wa wilaya za Moshi na Siha wakipanda kwenda kutizama moja ya matanki ya maji .

 Mkuu wa wilaya ya Siha Dk Charles Mlingwa akimuonesha naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge sehemu ambayo itanufaika na maji kutoka katika moja ya tanki la maji lililopo west Kilimanjaro 
 Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akipanda ngazi kujionea matengenezo ya tanki la maji lililopo west Kilimanjaro.
 Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akipanda ngazi kujionea matengenezo ya tanki la maji lililopo west Kilimanjaro.
Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akitelemka kilima ambako alipanda kwenda kutizama moja ya tanki la maji .Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi

No comments: