PICHA: Uzinduzi wa filamu ya foolish Age ya mwanadada Elizabeth Michael-LULU ulivyokuwa jana
Hatimaye tukio la uzinduzi wa filamu ya ya mwanadada
Elizabeth Michael lulu umefanyika jana katika ukumbi wa mlimani City
kwa kishindo kikubwa kwani ulijaza watu wengi kupita kawaida na kuacha
historia katika soko la filamu Tanzania.
Tazama baadhi ya picha za tukio hilo lilivyokuwa
No comments:
Post a Comment