Haya ni mafuriko yaliyotokea mji wa Manispaa ya Mtwara.Mvua imenyesha siku mbili lakini madhara yake yamekuwa makubwa kwa watu na huo mtubwi sio baharini ni sehemu ya mwinuko lakini maji yamejaa sehemu hii.Wanachuo wengi wa SAUT-MTWARA,Wafanyakazi wa CRDB-BANK na raia wengine wamekumbwa na matatizo haya na vitu vingi vimeharibika kama screen,kabati,vitabu na materials,sofa n.k.
Binafsi nawapa pole naomba kama kuna uwezekano serikali iwasaidie kidogo .
No comments:
Post a Comment