JK ATUA KIGOMA KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 36 YA CCM
Ndege
iliyombeba Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho
Kikwete ikiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoani Kigoma jioni
hii,tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama
cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake
Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Wananchi lukiki wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma kumpokea Rais Jakaya Kikwete leo.nyuma yao ni Ndege ya Rais ikiwasili.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Mh. Issa Machibwa wakati alipo wasili kwenye
Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo tayari kwa kuhudhulia Sherehe za
Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika
kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea salamu
kutoka kwa vijana wa Chipukizi wa CCM mkoani Kigoma,wakati alipo wasili
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo tayari kwa kuhudhulia
Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi
(CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake
Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu
na Chipukizi wa CCM mkoani Kigoma wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo,tayari kwa kuhudhulia Sherehe za
Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika
kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Bara,Mh. Mwigulu Nchemba.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM mkoani Kigoma.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wananchi wa Mkoa wa Kigoma waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma kumlaki.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi CCM CCM,Nape Nnauye.
Rais Kikwete akisikiliza swali lililokuwa likulizwa na Mwandishi wa Habari wa Radio Uhuru,
Msafara wa Rais ukipita barabarani.
Rais Kikwete akiwapungia wananchi.
Wanahabari
waliopo mkoani Kigoma tayari kwa kuripoti Maadhimisho ya Miaka 36 ya
CCM,wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma kwa ajili ya kukava tukio la
kuwasili Rais Jakaya Kikwete Mkoani Kigoma.
No comments:
Post a Comment