KATIKA PICHA : UZINDUZI WA BARABARA YA MWAI KIBAKI JIJINI DAR ES SALAAM
Written By Bongonewz Magazine on Thursday, February 21, 2013 | 9:24 PM

Rais Mwai Kibaki wa Kenya akikata utepe, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kutembea hatua chache kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013. Barabara hiyo, yenye urefu wa kilomita 10.1 inaanzia makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Bagamoyo hadi njia panda ya kwenda Africana karibu na uwanja wa kulenga shabaha wa JWTZ Mbezi Beach

Vijana Jazz Band wakipamba moto kwenye hafla hiyo

Waheshimiwa Madiwani wa Kinondoni katika hafla hiyo

MC Ephraim Kibonde akiwa kazini

Sehemu ya barabara iliyopewa rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.

Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akienda kutoa hotuba yake

Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akimkaribisha Rais Mwai kibaka na Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika uzinduzi rasmi wa jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda aongea

Sehemu ya uzinduzi rasmi

Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akimkabidhi zawadi ya kasha la Zanzibar Rais Mwai kibaka huku Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia katika uzinduzi rasmi wa jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.

Rais Mwai kibaki akimshukuru Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kwa kumkabidhi zawadi ya kasha la Zanzibar

Rais Mwai Kibaki wa Kenya akifunua pazia, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akizindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.

Vifijo kwa wingi

Hongera Mzee Kibaki anasema Rais Kikwete

Mstahiki Meya ampongeza Rais Kibaki ambaye naye anamshukuru kwa heshima hiyo

Mzee ubarikiwe anasema Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli baada ya uzinduzi huo
PICHA NA MICHUZI MATUKIO
No comments:
Post a Comment