Madhara ya punyeto kwa mwanaume
Ifahamike
kuwa kuna watu wengi sana wanatumia mikono yao kujisaga katika sehemu
nyeti, Jambo hili linamadhara makubwa sana kwa binaadamu, Jambo hili kwa
lugha ya kiingereza wanaliita Masturbution, ni kitendo cha mwanaume
kujisugua tupu zake.
Licha
ya tafsiri ya punyeto kuwalenga wanaume zaidi lakini katika mada yangu
ya pili nitaelezea Usagaji na madhara yake kwani hili linahusu wanawake
na hili la usagaji linaingizwa na punyeto kwani madhara yake
yanakaribiana lakini tofauti inakuja jinsi ya kujirizisha.
Wanaume
wengi sana wanatumia mikono mikavu kujisaga, jambo hili huwafanya
waharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye
ubongo.
Uharibifu
huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata
humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa khasa akikutana na
mwenza wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono
alozoea kujichua nayo.
Jambo
jingine hatari linalo mkabili mpiga Punyeto ni upotevu wa hisia wakati
wa kujichua kwa mfano ili afike kwenye kilele lazima akuze hisia zake
kwa kiwango cha juu, pengine kupita ukweli halisi ataokutana nao pindi
atakapokuwa na mwanamke faraghani.
Mpiga
Punyeto hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo kama Miss World
kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke,
kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za
wanawake warembo ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na
kina Mwafulani wa mtaani tena sio mtundu kimapenzi, hapo kamwe hawezi
kusisimka mwili na hivyo kujikuta Uume wake husimama kwa kiwango cha
chini sana.
Madhara
mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kuumwana sana na
kichwa, mgongo, kupoteza nguvu za mwili na macho, madhara mengine
makubwa khasa mwanamme anaejichua mara mbili au tatu kwa siku ni
kushidwa kuzalisha, hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za
kiume kwenye mfuko wa uzazi.
Hii
yote madhara ya hapa duniani lakini kwa Allah ni mwisho wa hisabu kwani
''Amelaaniwa mtumiaji mkono kwa kujisugua uume wake(Punyeto)
No comments:
Post a Comment