RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JKT JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa juu wa Jeshi la Kujenga
Taifa (JKT) jijini Dar es salaam alipotembelea leo February 27, 2013.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha,
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange pia walihudhuria.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na kada mbalimbali
za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) alipotembelea leo February 27, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na kada mbalimbali
za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) alipotembelea leo February 27, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kwenye uwanja wa sherehe baada ya
kupata maelezo na kutoa maagizo kwa uongozi wa juu wa Jeshi la Kujenga
Taifa (JKT) alipotembelea makao makuu yake leo February 27, 2013.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha na
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange pia walihudhuria.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa juu wa
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) jijini Dar es salaam alipotembelea leo
February 27, 2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai
Shamsi Nahodha, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange pia wapo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya saa toka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael Muhuga huku Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha, Mkuu wa
Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange wakishuhudia. Saa hiyo imeandaliwa
na makamanda wa JKT kumpongeza Rais Kikwete kwa kurejesha mafunzo ya
jeshi la ulinzi kwa mujibu wa sheria kuanzia mwaka huu.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia makamanda wa Jeshi la Kujenga Taifa
(JKT) alipotembelea makao makuu yao leo February 27, 2013. PICHA NA
IKULU.
No comments:
Post a Comment