TCRA KANDA YA MASHARIKI WASHEREHEKEA SIKU YA FAMILIA ,FAMILY DAY
Meneja wa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Eng. Oscar
Mwanjesa akSikata keki ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake mbele ya
wafanyakazi wenzake wa Mamlaka hiyo wakati wa hafla ya family day
iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni Dar es Salaam.
Watatu kutoka kulia ni Kaim Meneja Mawasliano wa TCRA Semu Mwakyajala.
Wafanyakazi
wa Mamlaka ya Mawasiliaono (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika
picha ya pamoja wakati wa kusherehekea siku ya Family Day iliyofanyika
katika ufukwe wa bahari ya hindi eneo la hoteli ya Southen Beach
Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi
wa Mamlaka ya Mawasiliaono (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika
picha ya pamoja na familia zoa wakati wa kusherehekea siku ya Family
Day iliyofanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi eneo la hoteli ya
Southen Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kanda
ya Mashariki wakishindano kufukuza kuku wakati wa katika ufukwe wa
haoteli ya Southan Beach Kigamboni ikiwa ni sehemu moja wapo ya
kusherehekea siku ya Familia iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo jijini Dar es
Salaam.
Wafanyakazi
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki
wakishindano kuvuta Kamba ikiwa ni sehemuya shamlashamla za kusherehekea
siku ya Familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni
jijini Dar es Salaam.
Watoto wa
wafanyakazi wa Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Kanda ya Mashariki wakishindana kukimbia na magunia ikiwa ni sehemu ya
kusherehekea siku ya Familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan
Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya
Mashariki wakiwa na Familia zao wakicheza muziki aina ya kwaito ikiwa ni
sehemu ya kusherehekea siku Familia iliyofanyika katika hoteli ya
Southan Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki
wakishindana kukumbia na Magunia ikiwa ni sehemuya shamlashamla za
kusherehekea siku ya Familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan
Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment