Kamanda
Minangi alisema gari lenye namba za usajili T855 ATB aina ya Scania
iliyokuwa ikiendeshwa na mtu asiyefahamika, akitoka Ubungo au Buguruni
alipofika maeneo hayo gari hilo liliacha njia na kuwagonga watembea kwa
miguu na magari mengine manne.
…read more Source:
HabariLeo
No comments:
Post a Comment