Monday, March 25, 2013

TUWAZE KWA SAUTI ,TUWAZE KWA PAMOJA KUHUSU STENDI KUU YA MANISPAA BUKOBA


Hii ni hali halisi ya stendi kuu ya Manispaa ya Mji Bukoba.
 Kamba inayohusika na ukusanyaji wa ushuru hadi siku za Jumapili ....'Wadau hapa tuelezane kwa undani kama pana tatizo au laa'!
 Mdau msomaji ni vyema tungepata  maoni yako na yule.
 Kiu ya wadau wengi wa nje na ndani ya manispaa,wanawaomba wahusika popote pale kutujuza kwa maelezo tu,kuhusu mchakato wa stendi mpya ama mapendekezo ya kuboresha stendi hii.
Mdau msomaji  Uwanja  huu ni wako........

Bukobawadau tunawaza kwa sauti na tutaendelea kuwaza!!!!

No comments: