Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. MaimunaTarishi akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA. Aliyesimama ni Mkurugenzi wa Utumishi na utawala wa TANAPA Bi. Witness Shoo na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Bw. Allan Kijazi.
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Hifadhi za Taifa (hawapopichani) Arusha alipowatembelea nakuzungumza nao juu ya changamoto ya kukabiliana na vitendo vya ujangilinchini. KulianiMkurugenziMkuuwa TANAPA Allan Kijazi.
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Hifadhi za Taifa jijini Arusha alipowatembelea na kuzungumza nao juu ya changamoto ya kukabiliana na vitendo vya ujangil inchini.
Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi akitoa taarifa ya shirika kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi wakati wa kikao baina ya Katibu Mkuu huyo na Menejimenti ya shirika.
Sehemu ya wafanyakazi makao makuu TANAPA
Wafanyakazi TANAPA makao makuu
Wafanyakazi wakfuatilia hotuba
Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi akimpa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi mfuko wenye bidhaa mbalimbali za TANAPA za kutangaza vivutio vya utalii katika Hifadhi za Taifa mara baada ya kumalizika kwa mkutano .
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Menejimenti ya TANAPA mara baada ya kumalizika kwa mkutano bainayao.
Picha zote na mdau Pascal Shelutete, TANAPA
No comments:
Post a Comment