Dr Thomas Kashililah, Katibu wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola barani Afrika (CPA) akiwa katika mazungumzo na Kaimu Katibu Mkuu wa Jukwaa la Mabunge ya nchi za SADC, Nd Raj Khooblall wakati Dr Kashililah alipotembelea makao makuu ya Jukwaa hilo yaliyopo Windhoek, Namibia.
Dr Thomas Kashililah, Katibu wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola barani Afrika ambae pia ni Katibu wa Bunge akiwa katika mazungumzo na Katibu Bunge la Namibia, Bibi Panduleni Shimutwikeni.Dr Kashililah na ujumbe wake wako Namibia kwa ziara maalum ya ukaguzi wa maandalizi ya mkutano mkuu wa CPA Afrika unaotarajiwa kuhudhuriwa na wabunge zaidi ya 500 toka matawi 63 ya Chama hicho barani Afrika
No comments:
Post a Comment