Saturday, June 22, 2013

BAADHI YA MATUKIO YA TAFRIJA FUPI YA PRO-LIFE KATIKA CHUO CHA SAUT-MTWARA

PRO-LIFE ni shirika lililoanzishwa na Father Dr.Aidan Msafiri Lecture wa Chuo Cha Stella Maris kilichopo Mtwara mjini.Ni chuo kishiriki cha ST.AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA.Shirika ili linahusika zaidi na mambo yote yahusuyo UHAI na limesaidia sana wanachuo wote na jamii nzima ya Mtwara maana Dr.Aidan Msafiri ameanzisha michezo mbalimbali pamoja na semina zilizotoa elimu kuhusu uhai,mambo ya Utoaji mimba,Uraji rushwa n.k.
Haya ni baadhi ya Matukio wakati wa kupokea vyeti vya ushiriki
Dada akitoa shukrani kwa Father Dr.Aidan Msafiri

wakisikiliza mawaidha


Baadhi ya wahitimu wakipata vilainisha koo

Mwanzilishi wa na Mlezi Wa PRO-LIFE Father Dr.Aidan Msafiri 























No comments: