Leo wanafunzi wa mwaka wa tatu na wa pili wa Chuo cha STEMMMUCO kishiriki cha SAUT wamehitimu mafunzo ya awali ya utoaji wa huduma ya kwanza.Mafunzo hayo yaliendeshwa na Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (REDCROSS) Mkoani Mtwara chini ya Mkufunzi Mr.Ruge.
http://muleba-kwetu.blogspot.com
BAADHI YA WAHITIMU WAKISIKILIZA UJUMBE KUTOKA KWA MGENI RASMI |
MGENI RASMI ANATOA NENO |
MHITIMU KANINGO GOLDIAN AKIPEWA CHETI CHA USHIRIKI |
MHITIMU AKIPATA CHETI |
MISS ANIFA AKIPEWA CHEKI CHA USHIRIKI |
MHITIMU MISS ALODIA AKIPEWA CHETI |
MISS HAPPY AKIPEWA CHETI |
MKUFUNZI WETU MR.RUGE |
MWENYEKITI WA MKOA RED CROSS MR.KASEMBE AKITOA NENO |
PICHA YA PAMOJA NA MGENI RASMI |
PICHA YA PAMOJA |
PICHA YA PAMOJA |
No comments:
Post a Comment