Wanafunzi hao wa Chuo kishiriki cha SAUT walianza mafunzo hayo ya kutoa huduma ya kwanza mwezi wan ne mwaka huu.Mafunzo hayo yameendeshwa na viongozi wa Chama Cha Msalaba mwekundu Tanzania tawi la Mtwara chini ya Mkufunzi Bwana Ruge.Wamefundishwa aina mbalimbali za kutoa huduma ya kwanza na historia nzima kuhusu RED CROSS.
Pamoja na hayo wanachuo hao wanatoa shukrani za
dhati kwa Mr.Kavishe Goodluck ambaye amejitoa kwa kufatilia kwa kina kuomba
msaada huo wa kupewa elimu hiyo.
Yafuatayo ni baadhi ya Matukio wakati wa somo la
kutoa huduma ya kwanza kwa majeruhi mbalimbali.
WAKIJIANDAA KUANZA SOMO HUKU KANINGO AKISOMA KANUNI 7 ZA RED CROSS |
WAKIWA KATIKA MAFUNZO NA MWEZESHAJI MR.RUGE MWENYE TISHET NYEKUNDU MKONO WA | KULIA |
HAKINA DADA NAO WAPO HUYU NI MARY MPONDA AKIMFUTIA KANINGO MMILIKI WA BL | OG HII |
WAKIWA WANAPEWA MAAGIZO KWENDA KUTOA HUDUMA |
KIONGOZI A.K.A MTENDAJI AKITOA MAELEKEZO |
MAJERUHI AKIWA AMESHILILIWA MKONO ULIOVUJIKA |
MAJERUHI WALIOZIMIA WAKIKE NI SARAH,VERONICA |
ISABELLA NA MARY WAKIMBEBA MAJERUHI |
MADAM EDINA AKIWA TAYARI KUBEBWA KUPELEKWA SEHEMU SALAMA ILI APEWE HUDUMA YA KWANZA |
MADAM EDINA AKIWEKWA KWENYE MACHELA |
MARY MPONDA AKIMFARIJI MAJERUHI |
MADAM LEAH AKITOA MAELEKEZO KAMA KIONGOZI WA KUNDI LA KUTOA HUDUMA YA KWANZA |
MAJERUHI ALIYEPOTEZA FAHAMU AKISUBIRI APEWE HUDUMA YA KWANZA |
WAKIWA WAMEMBEBA MAJERUHI |
SHARIFU AKIWA AMEJIKA MGUU NA APEWA HUDUMA YA KWANZA NA WATOA HUDUMA |
MADAM LEAH AKITOA MSAADA WA KUMBEBA MAJERUHI |
WAKIWA WANAMBEBA MAJERUHI |
WAKIWA WAMECHOKA CHAKARI BAADA YA MAZOEZI MAKALI |
No comments:
Post a Comment