WEMA Sepetu ametengeneza kichwa cha habari akidai hajawahi kumsaliti aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ enzi zile walipokuwa wamezama kwenye dimbwi la mahabat.
Mara kadhaa Diamond amewahi kukaririwa katika vyombo vya habari akimtuhumu mlimbwende huyo alikuwa akimsaliti pindi walipokuwa wapenzi. Tuwaachie mambo yao! Wasituchoshe
No comments:
Post a Comment