SIKU YA HARUSI YA WASIWASI MWABULAMBO MTANGAZAJI WA JAHAZI LA CLOUDS FM
Harusi
ya Wasiwasi Mwabulambo na Janeth ilifungwa kwenye Kanisa La Kilutheri
Boko Dar Es Salaam Na Baadae kwenye tafrija iliyofanyika Mbezi Beach
siku ya Jumamosi 22/6/2013.Clouds Media Group intakutakia maisha mema ya
ndoa na Mungu awaongeze katika kila jambo..Amen.
No comments:
Post a Comment