MWANAMKE AVUA NGUO NA KUCHEZA UCHI BAADA YA KUZIDISHA POMBE HUKO MBAGALA ZAKHEIM
DADA mmoja ambaye jina lake halikuweza
kujulukana mara moja aliuacha hoi umati wa watu waliokuwa kwenye baa moja
hivi (jina kapuni) huko mbagala Zakheim mara baada ya kuvua nguo zote
na kubaki uchi wa mnyama na hivyo kusababusha hali ya taharuki katika
maeneo hayo.
Chanzo cha habari kinadai kuwa
dada huyo alifika maeneo hayo akiwa vizuri kabisa...
Uchafu wake ulianza baada ya yeye
kunywa bia
nyingi mithiri ya mtu mwenye kiu ya maji .Pombe ilipopanda kichwani,
mrembo huyo alianza kukata mauno ovyo na kusaula nguo mojamoja mpaka
alipoyaanika na makalio yake..
source.Mpekuzi Huru
No comments:
Post a Comment