 Wanaume wengine hata wakiona hivi huchanganyikiwa!
 Wanaume wengine hata wakiona hivi huchanganyikiwa!
Kuna
 wakati huko Berlin, nchini Ujerumani, kulikuwa na unesho ambapo 
wanawake walikuwa wakionesha maungo yao kwa malipo. Wanawake hao 
walikuwa wakionesha maungo hayo kwa wanaume ambao wanaamini kwamba, 
kuona sehemu uchi wa mwanamke ndicho kilichowaleta hapa duniani.
Hebu
 sikia ujinga huo zaidi. Waandaaji wa onesho hilo ambalo lilihusisha 
wanawake wapatao 100 wa umri wa miaka 19 hadi 65 walilazimika kuwaita 
Polisi ili kudhibiti midume iliyokuwa ikifanya fujo wakati wa kukata 
tiketi kila mmoja akitaka awe wa kwanza kuingia kwenye onesho hilo. 
Kila
 mmoja alikuwa akitaka awahi yeye kuona sehemu za siri ambazo bila shaka
 mkewe na watu wengine wa jinsia ya kike wanaomzunguka wanazo!
Mwandaaji
 wa onesho hilo, Vanessa Beecroft, ambaye ndiye mgunduzi wa njia hii ya 
kujipatia fedha kirahisi kutoka kwa wanaume hao wasio na haya, hufanya 
maonesho haya kwa jina la VB55 kwa nyakati na miji tofauti Ulaya. 
Msije
 mkashangaa siku akija na huku Afrika kujichotea mamilioni ya dola, au 
akajitokeza mjanja mwingine huku Afrika na kuanzisha hayo maonesho, 
naamini wanaume watauana wallahi. 
 
 
No comments:
Post a Comment