Monday, June 10, 2013

Wanawake msiende kwa Karumanzila, ukweli ni huu hapa…!


Stacey Tantleff-Dunn mtalamu wa afya ya ulaji na mwonekano anasema kwamba, vipimo vya uzuri kwa wanawake vimegawanyika. Kwa kawaida wanaume hupima uzuri wa mwanamke kwa sura au mwili, lakini linapokuja suala la kupata mtu ambaye wanataka kuishi naye kama mke, suala la haiba, yaani tabia na mwenendo, linachukua nafasi kubwa.
Wale wanawake ambao wanapendeka, ambao wana haiba na mienendo mizuri hata kama wangekuwa wabaya kwa sura na umbo, bado wako kwenye nafasi ya kuhesabiwa kuwa ni wazuri. Hawa ndiyo ambao hupata wanaume kirahisi. Wataalamu wa uzuri, hivi sasa wanasisitiza ..Read More
Source: Kaluse

No comments: