Muhudumu wa kiume wa baa moja maarufu iliyopo Posta Jijini Dar hivi karibuni alinaswa akifanya ufuska kwa kumnyonya maziwa hadharani mteja wake wa kike.
Tukio hilo ambalo lilishuhudiwa pia na wahudumu wa baa hiyo lilitendwa na jamaa huyu kwa mrembo ambaye alionekana kunywa pombe kupita kiasi , hali iliyomfanya asijitambue
Kijana huyo aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Chambuso alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya menejaa wake kufika na kushuhudia tukio hilo, hali iliyomlazimu meneja huyo kuchukua uamuzi mgumu wa kumtimua kazini
No comments:
Post a Comment