Mwimbaji wa nyibo za injili toka nchini Nigeria ajulikanaye kwa jina la Maheeda amejikuta akitengwa na kanisa baada ya picha zake za uchi kuvuja….
Taarifa zinadai kwamba kabla ya kuanza kuimba nyimbo za dini, mrembo huyo alikuwa akijihusisha na mziki wa kidunia ambao kwa tanzania unajulikana kwa jina la Bongo Fleva
No comments:
Post a Comment