wandishi wa habari auawa kwa kunyongwa na kupigwa risasi, sehemu zake za siri zanyofolewa
MWANDISHI wa Habari aliyekuwa anawakilisha kituo cha Radio Kwizera katika wilaya mpya ya Kakonko mkoani Kigoma, Issa Ngumba (45) ameuawa kwa kunyongwa na kisha kupigwa risasi mkono wa kushoto halafu sehemu zake za siri kunyofolewa, huku simu zake mbili na bastola iliyotumika kumshambulia ikiachwa kando ya mwili wake porini.
Advertisement
Source: Wavuti
1 comment:
Mungu akulaze mahali pema peponi Amen
Post a Comment