Kala Jeremiah akipokea tuzo TATU. Ommy Dimpoz Tuzo TATU Mashujaa Band wakifurahia Tuzo ya Band Bora. Gardner G Habash akipokea tuzo ya Msanii Bora wa K*** kwa niaba ya Lady Jaydee Chalz Baba akiwa na Tuzo zake! Ben Pol akiwa kwenye stage na tuzo yake ya Mtunzi Bora wa Mashahiri Bongo Fleva.
MC wa
Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 Bw. Zembwel ambaye aliomba
kibarua kama hicho a. Picha zote na Kilimajaro Premium Lager
No comments:
Post a Comment