Thursday, January 10, 2013

wandishi wa habari auawa kwa kunyongwa na kupigwa risasi, sehemu zake za siri zanyofolewa

MWANDISHI wa Habari aliyekuwa anawakilisha kituo cha Radio Kwizera katika wilaya mpya ya Kakonko mkoani Kigoma, Issa Ngumba (45) ameuawa kwa kunyongwa na kisha kupigwa risasi mkono wa kushoto halafu sehemu zake za siri kunyofolewa, huku simu zake mbili na bastola iliyotumika kumshambulia ikiachwa kando ya mwili wake porini.
Advertisement
Habari ambazo zimepatikana na kutoka wilayani Kakonko mkoani Kigoma na kuthibitishwa na kamanda wa Polisi mkoa wa Kigoma Fraser Kashai, pamoja na Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa Habari Kigoma (KPC) Deogratias Sonkolo imedai mwandishi huyo amekutwa ameuawa kwa kunyongwa shingo na..more
Source: Wavuti
 Mwandishi wa habari auawa kwa kunyongwa na kupigwa risasi, sehemu zake za siri zanyofolewa

1 comment:

Goldian Kaningo said...

Mungu akulaze mahali pema peponi Amen