Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akihutubia wakati akifungua Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), ulioanza leo asubuhi
katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar
es Salaam.
Waziri
wa Fedha, Dkt. William Mgimwa akizungumza machache kabla ya
kumkaribisha Mgeni rasmi,Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwa ajili ya kuhutubia na kuufungua
rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa
Watumishi wa Umma (PSPF), ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano
wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma
(PSPF),George Yambesi akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano
Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa
Umma (PSPF), ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la
Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko
wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF),Adam Mayingu akitoa taarifa ya
Mfuko huo mbele ya Mgeni Rasmi na Wadau waliohudhulia Mkutano
huo Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi
wa Umma (PSPF), ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo
la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Kitambulisho, Winfrey Ibrahim Banda, Mwalimu wa Shule ya
Msingi, ambaye ni mmoja kati ya wanachama wapya wanaochangia kwa hiyari,
ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wao na ishara ya ufunguzi wa
mkuatano huo, ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Kitambulisho, Faridi Ibrahim Kiringi, mfanyabiashara wa
duka la Nguo, ambaye ni mmoja kati ya wanachama wapya wanaochangia kwa
hiyari, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wao na ishara ya ufunguzi wa
mkuatano huo, ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Hati na Nyumba na funguo, Adorat Francis Milinga, mmoja
kati ya watu watano walionunua nyumba za PSPF, ambaye ni mmoja kati ya
wanachama wapya wanaochangia kwa hiyari, ikiwa ni sehemu ya kutambua
mchango wao na ishara ya ufunguzi wa mkuatano huo, ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akiweka saini kitabu cha wageni kabla ya kuanza kwa Mkutano
Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa
Umma (PSPF), ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la
Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa,Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF),George Yambesi (wa pili kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF),Adam Mayingu (kulia).
Msanii
Mrisho Mpoto akitoa burudani mbele ya mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa
Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa
Watumishi wa Umma (PSPF), uliofanyika leo katika Ukumbi wa Jengo Golden
Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.
Meza Kuu.

Wakurugeni
Wakuu wa Mifuko ya Jamii,toka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA,Irene
Isaka,Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa
NSSF,Dkt. Ramadhan Dau wakipiga makofi kupongeza hotuba ya mgeni rasmi
katika Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka
wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), ulioanza leo
asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers,
jijini Dar es Salaam.
Wadau.
Wajumbe wa Bodi ya PSPF.
Baadhi ya Wadau waliohudhulia Mkutano
huo Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi
wa Umma (PSPF), ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo
la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment