
MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Ali Kessy Mohammed (CCM) ameishauri Serikali kuachana na kuhamasisha kilimo cha tumbaku kwa vile kinasababisha magonjwa ya kansa; badala yake iruhusu kilimo cha bangi.
Akiuliza swali la nyongeza jana bungeni, Kessy alisema zao la tumbaku linapingwa kote duniani; hivyo sio vyema kwa Serikali kuendelea kuhamasisha kilimo chake na ni vyema ikaruhusu bangi kwa vile ina uwezo wa kuliletea taifa fedha za kigeni. “Kwa nini tusiruhusu kilimo cha bangi kuliletea taifa fedha za kigeni badala ya..read more
Source: HabariLeo
No comments:
Post a Comment