Sunday, April 14, 2013

Mbunge(Chadema) apinga bilioni 6/- kutumika kukarabati panapovuja Bungeni


MBUNGE wa Viti Maalumu, Pauline Gekul (Chadema) amepinga serikali kutenga Sh bilioni sita kwa ajili ya ukarabati wa sehemu inayovuja katika jengo la Bunge.

Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2013/2014, Gekul alisema si sahihi kwa kutengwa fedha zote hizo huku kuna hospitali za rufaa zinahitaji fedha na zimeomba siku nyingi lakini..read more
Source: HabariLeo

No comments: